FAINALI YA REDD'S MISS KANDA YA ILALA KUFANYIKA KESHO IJUMAA
Meneja wa kinywaji cha Redds Original Victoria Kimaro kulia akizungumza na waandishi wa habari kuhusu fainali ya redds Miss kanda ya Ilala inayotarajia kufanyika kesho ijumaa katika ukumbi wa nyumbani uliopo namnga jijini Dar Es Salaam .katikati ni Mratibu wa shindano hilo Juma Madabila na Msanii Steven Nyerere
Steven nyerere akizungumza na waandishi wa habari

Post a Comment