Header AD

Rais Jakaya Kikwete Aagana na Mabalozi wa Cuba na iran Ikulu Jijini Dar es Salaa

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Cuba  nchini Tanzania aliyemaliza muda wake  Mhe Ernesto Gomes Dias leo Septemba 28,  2012 Ikulu jijini DAr es salaam Dar es salaam.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Iran nchini Tanzania aliyemaliza muda wake  Mhe Mohsen Movahhedi Ghomi leo Septemba 28, 2012  Ikulu Dar es salaam
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Cuba  nchini Tanzania aliyemaliza muda wake  Mhe Ernesto Gomes Dias leo Septemba 28,  2012 Ikulu jijini DAr es salaam Dar es salaam.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na na Balozi wa Cuba  nchini Tanzania aliyemaliza muda wake  Mhe Ernesto Gomes Dias leo Septemba 28,  2012 Ikulu jijini Dar es salaam Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Iran nchini Tanzania aliyemaliza muda wake  Mhe Mohsen Movahhedi Ghomi leo Septemba 28, 2012  Ikulu Dar es salaam.Picha na IKULU
Reviewed by crispaseve on 11:59 Rating: 5

No comments

Post AD