Header AD

SIMBA YATAFUNWA NA SOKAPAKA DAR

 .
Mchezaji Edward Christopher (kulia) wa Simba akitafuta mbinu ya kumtoka Anthony Kimani wa Sofapaka ya Kenya wakati wa mchezo wa kirafiki kati ya timu hizo uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni hii. Sofapaka imeshinda mabao 3-0. (PICHA NA KASSIM MBAROUK)
Reviewed by crispaseve on 09:29 Rating: 5

No comments

Post AD