TBL YAKABIDHI MABASI MAPYA KLABU ZA SIMBA NA YANGA Mashabiki wa Yanga na Simba wakicheza kwa pamoja kufurahia zawadi ya mabasi mapya yaliyokabidhiwa kwa timu zao leo, baada ya Kampuni ya Bia Tanzania TBL kuvikabidhi klabu za Simba na Yanga mabasi mapya katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Post a Comment