| Waziri wa Fedha Mhe. Dr. William Mgimwa katikati akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini, Menejimenti ya PSPF, SSRA na Wawakilishi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii nchini. Kutoka kushoto waliokaa ni Adam H. Mayingu (Kaimu Mkurugenzi Mkuu-PSPF), Ally A. Kiwenge (Mjumbe), Irene Isaka (Mkurugenzi Mkuu -SSRA), Lila Mkilla (Mjumbe), George Yambesi (Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini), Clement Mswanyama (Mjumbe) na Elipina Mlaki (Mjumbe) |
Post a Comment