Header AD

Waziri Mkuu Minzego Pinda Ashiriki Mazishi ya Aliyekua Katibu wa Chama cha Wanajeshi Wastaafu (RAMETEA),Luteni Kanali Mstaafu, Adam Hussein Makwaiya

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitupa udongo kwenye kaburi la aliyekuwa  Katibu wa Chama cha Wanajeshi Wastaafu (RAMETEA), Luteni Kanali Mstaafu, Adam Hussein Makwaiya katika mazishi yaliyofanyika  kwenye makaburi ya  Kisutu jijini Dar es salaam Agust 6,  2012.
 Waombolezaji wakiwa wamebeba mwili wa aliyekuwa Katibu wa Chama cha  Wanajeshi Wastaafu (RAMETEA) marehemu Luteni Kanali Mstaafu, Adam  Hussein Makwaiya katika mazishi yaliyofanyika makaburi ya Kisutu jijini  Dar es salaam Agust 6, 2012 na serikali iliwakilishwa na Waziri Mkuu  Mizengo Pinda.
Waombolezaji wakiuweka  kaburini mwili wa aliyekuwa Katibu wa Chama cha  Wanajeshi Wastaafu (RAMETEA),Luteni Kanali Mstaafu wa Jeshi la Wananchi  wa Tanzania, `Adam Hussein Makwaiya katika mazishsi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam Agust 6, 2012 na serikali  iliwakilishwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.Picha na Ofisi ya Waziri  Mkuu
Reviewed by crispaseve on 09:26 Rating: 5

No comments

Post AD