KITABU CHA HARAKATI ZA DKT JAKAYA KIKWETE KATIKA KUMUENZI MWL JK NYERERE CHAZINDULIWA RASMI LEO MKOANI DODOMA
Mwanaharakati Novatus Mutoka kutoka
Mkoani Dodoma akiongea na waandishi wa habari (hawapo picha) leo mkoani
Dodoma wakati akitambulisha kitabu chake kinachoitwa "HARAKATI ZA DKT JAKAYA KIKWETE KATIKA KUMUENZI MWL JK NYERERE" ambapo pia alielezea lengo la yeye kuandika kitabu hiko mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani)
Mwanaharakati
Novatus Mutoka akionyesha kitabu alichoandika yeye kinachoitwa
"HARAKATI ZA DKT JAKAYA KIKWETE KATIKA KUMUENZI MWL JK NYERERE" mbele ya
waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema leo ofisini kwake mkoani
Dodoma.

Post a Comment