washiriki wa Guinness Football Challenge walipokuwa Uwanja Wa Ndege wa kimataifa Wa Mwl Nyerere Tayari Kwa Kwendaafrika kusini.
Washiriki wa shindano la Guinness
Football Challenge wakiwa katika picha ya pamoja tayari kwa ukaguzi wa
kuingia Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kuelekea nchini Afrika ya
Kusini kwa ajili ya kushiriki shindano la Guinness Football Challenge
litalofanyika katika jiji la Johannesburg kwa muda wa siku kumi.
WASHIRIKI WAKIWA KATIKA HOTEL YA CITY INN KABLA YA KUANZA SAFARI YA KWENDA UWANJA WA NDEGE.
Washiriki wa GFC wakihakiki nyaraka zao kabla ya kuondoka alfajiri kuelekea South Africa.
Reviewed by crispaseve
on
04:43
Rating:
Post a Comment