NSSF YAANZA KUUZA NYUMBA ZA KIBADA
Baadhi ya nyumba za Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) zilizopo katika eneo la mradi wa nyumba za bei nafuu huko Kibada Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya jikoni
Mkurugenzi wa Mipango Uwekezaji na Miradi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Yacoub Kidula akiangali akikagua nyumba ya shirika hilo kabla ya kuikabidhi kwa mnunuzi wa nyumba hiyo, Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Hamid Mahmoud Hamid. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mahfoudha Alley Hamid.
Mmeona mandhari ya nyumba ilivyokuwa nzuri
Mkurugenzi wa Mipango Uwekezaji na Miradi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Yacoub
Kidula (kulia) akimkabidhi funguo ya nyumba, Makamu Mwenyekiti wa Tume
ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Hamid Mahmoud Hamid baada ya kununua nyumba
ya shirika hilo iliyopo katika eneo la mradi wa nyumba za bei nafuu huko
Kibada Kigamboni jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Makamu
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mahfoudha Alley
Hamid. (Na Mpiga Picha Wetu)
Wakipewa kadi ya Luku
Makamu
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Hamid Mahmoud Hamid
akiweka saini baada ya kununua nyumba ya shirika hilo iliyopo katika
eneo la mradi wa nyumba za bei nafuu huko Kibada Kigamboni jijini Dar es
Salaam. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na
Utawala Bora, Mahfoudha Alley Hamid. Kulia ni Mkurugenzi wa Mipango Uwekezaji na Miradi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Yacoub Kidula.
Karibuni ndani
Reviewed by crispaseve
on
08:47
Rating:
Post a Comment