NHIF YADONDOSHA BONGE LA HAFLA KUWASHUKURU WANAHABARI KWA KUFANIKISHA KONGAMANO MKOANI MTWARA
Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF),Emmanuel
Humba akizungumza katika hafla iliyoandaliwa kwa ajili ya kujipongezana
na kupata chakula cha jioni kwenye ukumbi wa Makonde mjini Mtwara,baada
ya kumalizika kwa Kongamano la Nane la Wanahabari na Wadau wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF),lililomalizika jana kwenye Ukumbi wa Benjamin Mkapa uliopo ndani ya Chuo cha Ualimu Mkoani humo.
Maofisa wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) kutoka kulia ni Grace Michael na Dr. Ahena Mramba Rose Gabriel wakiwa katika hafla hiyo.
Maofisa wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) kutoka kulia ni Grace Michael na Dr. Ahena Mramba Rose Gabriel wakiwa katika hafla hiyo.
Mkurugenzi
wa Tathmini na Uhai wa Mfuko na Takwimu NHIF , Bw. Michael Mhando
akifurahia jambo na Grace Michael Ofisa Masoko wa mfuko huo wakati wa
hafla hiyo kulia ni ni Angela Mziray
Baadhi ya Wahariri wa vyombo
mbalimbali vya habari wakiwa katika hafla hiyo kutoka kushoto ni Mgaya
Kingoba wa Habari Leo na wenzake
Steven Mhina kulia akiwa na Angel Akilimali kushoto wote kutoka Radio Uhuru
Steven Mhina kulia akiwa na Angel Akilimali kushoto wote kutoka Radio Uhuru
Ofisa wa Masoko wa NHIF Grace Michael wa tatu kutoka kulia akiwa katika picha ya pamoja na wanahabari
Kutoka kulia ni Catherin Sungura kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Grace Michael na Faraja Kihongole kutoka Chaenl Ten
Mkuu
wa Wilaya ya Kalambo Mh. Moshi Chang'a akishukuru baada ya kupokea
cheti chake kutokana na mchango wake wa NHIF katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF),Emmanuel Humba na kushoto ni Salome Manyama meneja wa tawi la NHIF makao makuu
Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Mh. Moshi Chang'a akipokea cheti chake kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF),Emmanuel Humba na kushoto ni Salome Manyama meneja wa tawi la NHIF makao makuu
Hapa ikiwa ni burudani kwa kwenda mbele
Hapa ikiwa ni burudani kwa kwenda mbele
Reviewed by crispaseve
on
09:38
Rating:
Post a Comment