RAIS KIKWETE ASHIRIKI UTIAJI SAINI MPANGO WA UMOJA WA MATAIFA WA AMANI, USALAMA NA USHIRIKIANO KATIKA DRC
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini Mpango wa Umoja wa
Mataifa wa Amani, Usalama na Ushirikiano katika Jamhuri ya Kidemokrasia
ya Kongo wakati wa hafla hiyo maal: umu iliyofanyika makao makuu ya
Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa, Ethiopia, leo Februari 24, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa na Katibu Mkuu wa
Umoja wa Mataifa Bw. Ban Ki-moon kwa kuwa mmoja wa viongozi wa bara la
Afrika walio mstari wa mbele kusimamia amani baada uwekaji akiweka saini
Mpango wa Umoja wa Mataifa wa Amani, Usalama na Ushirikiano katika
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wakati wa hafla hiyo maalumu
iliyofanyika makao makuu ya Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa,
Ethiopia, leo Februari 4, 2013
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe Shamsi Vuai Nahodha
pamoja na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe
Mahadhi Juma Maalim na wajumbe wengine wa ujumbe wa Tanzania wakati wa
uwekaji akiweka saini Mpango wa Umoja wa Mataifa wa Amani, Usalama na
Ushirikiano katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wakati wa hafla hiyo
maalumu iliyofanyika makao makuu ya Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa,
Ethiopia, leo Februari 4, 2013
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe Ban Ki-moon katika picha ya
pamoja na viongozi wa nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu baada ya uwekaji
akiweka saini Mpango wa Umoja wa Mataifa wa Amani, Usalama na
Ushirikiano katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wakati wa hafla hiyo
maalumu iliyofanyika makao makuu ya Umoja wa Afrika mjini Addis Ababa,
Ethiopia, leo Februari 4, 2013.Picha Na IKULU
Reviewed by crispaseve
on
09:03
Rating:
Post a Comment