Sherehe ya Mahafali ya Kwanza ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI)

matukio
ya sherehe za mahafali ya Kwanza ya Chuo cha Jinsia (GTI),
zilizofanyika leo mchana katika viwanja vya Mtandao wa Jinsia Tanzania
(TGNP) Mabibo, jijini Dar es Salaam. Chuo cah Mafunzo ya Jinsia (GTI)
leo kimetoa wahitimu wa kwanza wa mafunzo ya jinsia katika ngazi ya
cheti. Mgeni rasmi katika mahafali hayo ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo
kupitia tiketi ya CHADEMA, John Mnyika.
Matukio ya sherehe za mahafali ya Kwanza ya Chuo cha Jinsia (GTI),
zilizofanyika leo mchana katika viwanja vya Mtandao wa Jinsia Tanzania
(TGNP) Mabibo, jijini Dar es Salaam. Chuo cah Mafunzo ya Jinsia (GTI)
leo kimetoa wahitimu wa kwanza wa mafunzo ya jinsia katika ngazi ya
cheti. Mgeni rasmi katika mahafali hayo ni Mbunge wa Jimbo la Ubungo
kupitia tiketi ya CHADEMA, John Mnyika. Picha zote zimeandaliwa na
mtandao wa www.thehabari.com.

Post a Comment