WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD LOWASA WAKIBADILISHANA MAWAZO NA KATIBU MKUU WA CCM MH ABDURAHAMANI KINANA
Waziri Mkuu Mtaafu Mh Edward Lowasa akiwa ana badilishana mawazo na
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Mh Abdurahamani Kinana walipo kutana
katika maeneyo ya ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam hivi
karibuni.Picha na Chris Mfinanga

Post a Comment