BREAKING NEWS: MWANAMUZIKI WA HIPHOP NCHINI TANZANIA LANGA KILEO AMEFARIKI DUNIA LEO.
baadhi ya picha za Mwanamuziki wa HipHop Langa Kileo ambaye
tumepata taarifa kutoka kwa Dj Choka kwamba amefariki dunia leo katika
hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuugua malaria kali.
kwa taarifa zaidi kuhusiana na sababu ya kifo chake endelea kutembelea Blog yako ya Bamiza Blog..
Reviewed by crispaseve
on
10:32
Rating:
Post a Comment