MAZISHI YA MZEE JULIAN KIBINDO LUKINDO BABA MZAZI WA SUZANI MUNGY WA SHRIKA LA UTANGAZAJI TANZANIA TBC YA FANYIKA KIJINI KWAKE MUHEZA TANGA
Picha ya Marehemu Mzee Julian Kibindo Lukindo Bibi
Suzana Mungy wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) akiweka udongo
katika kaburi la Baba yake mzazi Mzee Julian Kibindo Lukindo(78) ambaye
amezikwa jana jioni kijijini kwake Muheza Tanga Mzee Lukindo amezaliwa
1935 na amefariki tarehe 10june2013 Mama Mzazi wa Suzana Mungy bibi Agnesi Julian Lukindo(75) akiweka udongo katika kaburi la mumewe mpendwa mzee Julian Lukindo Wakwe
wa Marehemu Mzee Julian Lukindo wakiwa wana jianda kushusha jeneza
ndani ya kaburi aliye vaa miwani ni Bw Inocent Mungy kulia kwake ni Bw
Juma Ndambile Mume wa Isabela Bibi Suzana Mungy akiwa pamoja na ndugu zake makaburini pembeni ya jeneza la Baba yao Mzee Julian Lukindo
Reviewed by crispaseve
on
10:34
Rating:
Post a Comment