Header AD

MAELFU WAJITOKEZA MKOANI MOROGORO KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU ALBERT MANGWAIR, WATU KUMI WAHOFIWA KUPOTEZA FAHAMU.

Image
Pichani ni mwanamuziki M To The P akiwa haamini muda mfupi baada ya kutoka Afrika Kusini alikuwa anapatiwa matatibabu.
Image
Pichani ni wananchi wa mkoa wa Morogoro waliojitokeza katika viwanja vya Jamhuri kuja kutoa salamu za mwisho kwa kipenzi cha watu Albert Mangwair.
Image
Pichani ni mwananchi wa mkoa wa morogoro akipewa huduma ya kwanza na kikosi cha msalaba mwekundu baada ya kuzimia, mpaka sasa takribani watu kumi wamepoteza fahamu.
Image
Hali ndio ilivyo, uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro umejaa sio kawaida, watu kutoka mikoa mbalimbali wamekuja kumsindikiza kipenzi chao Albert mangwair katika safari yake ya mwisho.
Image
Pichani ni baadhi ya wanafunzi ambao wanadai wameruhusiwa shuleni ili kuja kutoa heshima za mwisho kwa Marehemu albert Mangwair.
Reviewed by crispaseve on 06:46 Rating: 5

No comments

Post AD