Header AD

MATUKIO ZAIDI YALIYOJIRI WAKATI WA KUAGA MWILI WA NDUGU YETU ALBERT MANGWEA LEO KATIKA VIWANJA VYA LEADERS

Baadhi ya Wakazi wa Jiji Wakitoa heshima zao za Mwisho kabla mwili wa marehemu Albert Mangwea haujasafirishwa kupelekwa Mkoani Morogoro Kwaajili ya Mazishi hapo kesho
 Msanii wa Maigizo Kulwa Kikumba Aka Dude akibadilishana Mawazo na wasanii wenzake katika viwanja vya leaders leo wakati wa kuaga mwili wa marehemu Albert Mangwea Uliosafirishwa Mkoani Morogoro kwaajili ya Mazishi hapo Kesho
Polisi Jamii kikosi Cha Mbwa na Farasi wakiwajibika na kuhakikisha amani na usalama unaendelea kuwepo katika viwanja vya leaders
 Polisi Jamii akihakikisha hakuna zengwe linalotokea
 Dj Choka Akihojiwa na Kituo Cha Runinga cha EATV
 Hii ndio Kamati nzima ya Mazishi ya Marehemu Albert Mangwea
 Sehemu ya Wanakamati wa Mazishi ya Albert Mangwea Wa Pili Kushoto ni Lady Jay Dee, Prof Jay na Said Fella.
 Umati wa watu uliofurika leo katika Viwanja Vya Leaders
 Polisi jamii....
 Umati wa Wakazi wa Jiji la Dar wakishuhudia Zoezi la utoaji heshima za mwisho kabla ya mwili wa marehemu Albert Mangwea haujasafirishwa Kuelekea Mkoani Morogoro Kwaajili ya Mazishi hapo kesho
Askari wa Kikosi Cha Farasi nao walikuwepo kuhakikisha kila kitu kinaenda kama kilivyopangwa
 Wakazi wa  Jiji la Dar na Vitongoji Vyake wakiendelea kutoa heshima za mwisho
 Madada wakilia Kwa uchungu sana
 Uvumilivu uliwashinda na hatimaye na kudondoka huku wakilia kwa uchungu sana
 Umati ukiendelea kushuhudia
 Hii ndio kamati nzima ya Mazishi
Wakazi wa Jiji la Dar wakitoka Kutoa heshima zao za mwisho
Reviewed by crispaseve on 10:14 Rating: 5

No comments

Post AD