MANGULA ALA CHAKULA CHA JIONI NA UJUMBE MZITO WA PLO
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula akimkaribisha Makamu
Mwenyekiti wa Chama Cha Ukombozi wa Palestina (PLO), Tayseer Khalid,
kwenye chakula cha jioni, alichomwandalia mgeni huyo na ujumbe wake,
kwenye hoteli ya Protea Courtyard, jijini Dar es Salaam, Jini 12, 2013.
Kushoto ni Katibu wa NEC ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk.
Asha-Rose Migiro.
Mangula akifurahi hapa na apale na wageni kabla ya chakula
Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Chama Cha PLO,Jehad Abu Znead (kushoto)
akimsalimia Katibu Mkuu wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Khamis Dadi
kwenye hoteli ya Protea Courtyard jijini Dar es Salaam, wakati wa
chakula cha jioni ambacho Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula
aliuandalia ujumbe wa PLO uliopo nchini, Juni 12, 2013. Wengine kutoka
kushoto ni Katibu Mkuu wa Jumuia ya Wazazi Amina Makilagi, Katibu wa
NEC, Siasa na Uhusiano wa
Kimataifa CCM, Dk. Asha-Rose Migiro na Kiongozi wa zamani wa Makao Makuu ya CCM, Hulda Kibacha.
Kimataifa CCM, Dk. Asha-Rose Migiro na Kiongozi wa zamani wa Makao Makuu ya CCM, Hulda Kibacha.
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula akimsalimia Mjumbe wa
Kamati ya Utendaji ya chama cha PLO, Jehad Abu Znead wakati wa chakula
cha jioni alichouandalia ujumbe wa PLO ulipo nchini, kwenye hoteli ya
Courtyard jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu wa NEC,
Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro.
Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro.
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula akizungumza wakati wa
chakula cha jioni alichouandalia ujumbe wa Chama Cha Ukombozi cha
Palestina (PLO) kwenye Hotel ya Protea Courtyard jijini Dar es Salaam,
Juni 12, 2013. Kushoto ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya PLO, Jehad Abu
Znead na Katibu wa NEC ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk.
Asha-Rose Migiro na kulia ni Balozi wa Palestina hapa nchini, Dk. Nasri
Abujais na Makamu Mwenyekiti wa PLO, Tayseer Khalid.
Makamu Mwenyekiti wa PLO Tayseer akizungumza kwenye chakula hicho.
Mkao mzima uliokuwa hivi
Mangula na Tayseer wakiongoza kuchukua chakula
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Ukombozi cha Palestina (PLO) Tayseer
Khalid akimpa zawadi maalum, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip
Mangula wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa na Mangula kwa ajili
ya ujumbe wa PLO uliopo nchini, katika hoteli ya Protea Courtyard
jijini Dar es Salaam, Juni 12, 2013.
Naam zawadi hii ni nzuri: Mangula akifurahia zawadi hiyo
Balozi wa Palestina hapa nchini, Dk. Nasri Abujais (kulia) akitoa neno
la kumshukuru Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula ( wapili
kushoto), kwa achakula cha jioni alichouandalia ujumbe wa PLO uliopo
nchini, katika hoteli ya Protea Courtyard jijini Dar es Salaam, Juni 12,
2013. Kushoto ni Katibu wa NEC ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa,
Dk. Asha-Rose Migiro na Wapili kulia ni Makamu Mwenyekiti wa PLO,
Tayseer Khalid PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Reviewed by crispaseve
on
05:03
Rating:
Post a Comment