Header AD

SIO AIBU KWA WANACHUO WA MTWARA TU BALI HATA KWA SERIKALI.

Ndani ya Pub hiyo, madenti hao  walianza  kwa  staili  ya  kupiga  pombe  kabla  ya  michezo ya  kifusika  kuanza.

Pombe  ilipowakolea, madenti  hao  waligawana, kila  mtu  mtu  na  wake  na  kuanza  kubadilishana  mate  na  michezo  mingine  ya  michafu.
 
Hali  hiyo  ilizua taflani  kubwa  kwa  wananchi waliokuwa  eneo  hilo huku  wengine  wakion
ekana  kutoamini  macho  yao  kwa  vitendo  vilivyokuwa  vikitendwa  na  madenti  hao.

Lakini mkono wa serikali ambao unafika kila mahala wanashindwa kudhibiti vitendo hivi vya wanafunzi wa chuo kufanya uchafu wao ?.

Imefikia wakati serikali ikunjue makucha yake kwa kudhibiti vitendi hivyo katika kumbi za starehe kwani sio watu wasio jiheshimu bali hata watu wenye staha kuingia katika kumbi hizo kwa lengo la kupata huduma za vinywaji.
 
CHANZO  http://www.udakuspecially.com
Reviewed by crispaseve on 05:06 Rating: 5

No comments

Post AD