Header AD

MWANAMUZIKI H.BABA AFUNGA NDOA NA M’BONGO MOVIE FLORA MVUNGI JIJINI DAR ES SALAAM..

 
H Baba na mkewe Flora Mvungi katika pozi.
Flora akimnywesha mumewe kinywaji.
H Baba akisaini kitabu cha ndoa.
Flora naye akisaini kitabu cha ndoa.
Baada ya kuvuka mito,milima na mabonde hatimaye wasanii wa filamu na muziki Bongo Hamis Ramadhan Baba jina la jukwaa akifahamika kama  ‘H. Baba‘ na bi mdada kutoka Bongo Movie Flora Mvungi  weekend hii waliamua wakate vilimi vya watu wanaongea mjini na kufanikiwa kutimiza ahadi yao ya kufunga ndoa .
Hata ivyo tofauti na watu walivyotarajia kuhusu sherehe iyo kwamba ingefanyika ukumbini mkali wa staili ya TAKEU nchini H. Baba alifunguka kuwa aliamua kutokufanya sherehe ukumbini kutokana na wazee wake kukataa kwani kwa dini ya Kiislamu hairuhusiwi kufanya sherehe ukumbini ndiyo maana wakaamua kufanya maulidi tu.
Baada ya watu kula na kunywa na maharusi kusaini vyeti vya ndoa, waliondoka kuelekea nyumbani kwao Mikocheni, Dar ambako kulikuwa na sherehe ya maulidi kulikokuwa na vyakula na vinywaji vya kutosha.
Larrybway91 inawapongeza H.Baba na Bi mdada Flora Mvungi na kuwatakia Safari njema katika Ndoa yao
Reviewed by crispaseve on 08:06 Rating: 5

No comments

Post AD