Header AD

SHOCK REPORT: MSANII WA FILAMU KUTOKA BONGO MOVIE KASHI AFARIKI DUNIA



Picha  baadhi juu zinamuonyesha  Msanii wa   filamu nchini Tanzania Jaji Khamis maarufu KASHI, ambaye anadaiwa kufariki dunia mchana huu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambapo alikuwa amelazwa.
Kashi alianza kupata umaarufu baada ya kuanza kuigiza katika kikundi cha sanaa ambacho maigizo yake yalikuwa yanarushwa na  kituo cha televisheni cha ITV na pia kushiriki katika filamu za hapa nchini maarufu kama Bongo Movie.
Kwa taarifa zaidi kuhusiana na kifo cha msanii huyo  endeleaa kutembelea blog yako pendwa ya Larrybway91
//
Reviewed by crispaseve on 07:56 Rating: 5

No comments

Post AD