Header AD

RAPPER KANYE WEST AFANYA BIRTHDAY BILA KUMUALIKA BABYS MOTHER WAKE KIM KARDASHAN, YADAIWA ZIMEBAKI STORY.

Kanye West, Jay z & nas wakiwa katika picha ya pamoja katika sherehe ya kuzaliwa ya Kanye.
Jonathan Cheban, Scott Disick, Shawn
Beyoncé
Kanye West
Rapper Kanye West ametimiza rasmi miaka 36 tangu azaliwe, Rapper huyo maarufu anayetokea area za New York Marekani amezua maswali mengi kutoka kwa wapenzi na mashabiki wake kutokana na kitendo cha kukosekana Babys mother wake bi mdada Kim kardashan.
Chanzo kinaeleeza kwamba tangu mwanamitindo maarufu Kim kardashan amebebe ujauzito wa rapper Kanye West kumekua na hali ya kutoelewana baina yao sababu kubwa ikiwa ni maneno yanayoongelewa na vyombo mbalimbali vya habari, hata ivyo kuna tetesi zambazo hazijawa rasmi kwamba huendi boss Lady Kim kardashan na mpenzi wake Kanye wakawa wameachana kwa siri.
Katika sherehe iyo ya kuzaliwa kwa rapper huyo walikuwepo watu wengi mashuhuri ambao walitokelezea kumpa support kama vile rapper Jay – z na mkewe Beyonce, Rapper Nas na marafiki wa karibu wa rapper uyo.
Reviewed by crispaseve on 07:57 Rating: 5

No comments

Post AD