Header AD

TAZAMA MUONEKANO MPYA WA MWANAMITINDO AMBER ROSS.

Screen Shot 2013 06 09 at 1.01.04 PM Amber Rose Shows Off Her New Look! See Her With Long Hair! [Photos]
Screen Shot 2013 06 09 at 1.00.21 PM Amber Rose Shows Off Her New Look! See Her With Long Hair! [Photos]
http://i0.wp.com/josalynmonet.com/wp-content/uploads/2013/06/Screen-Shot-2013-06-09-at-12.59.28-PM.png
http://i1.wp.com/josalynmonet.com/wp-content/uploads/2013/06/Screen-Shot-2013-06-09-at-12.59.53-PM.png
Pichani ni couples mbili, Amber ross akiwa na mume wake Wiz Khalifa, pia couple nyingine ya Love & HipHop Stars Stevie J na mpenzi wake Josline.
Baadhi  picha ambazo mwanamitindo Amber Ross aliweka katika mtandao wa Instagram akionyesha muonekano wake mpya, watu wengi walizoea kumuona mwanamitindo Amber Ross akiwa katika muonekano wa kuwa na nywele fupi nyeupe, lakini baada ya kujifungua ameamua abadilishe muonekano wake.
Mwanamitindo Amber Ross ni mama wa mtoto mmoja Sebastian Taylor Thomaz ambaye amezaa na Rapper anayewakilisha crew ya Taylor Gang Wiz khalifa miezi kadhaa iliyopita.
Reviewed by crispaseve on 07:57 Rating: 5

No comments

Post AD