Header AD

 Mbwana Samatta
 Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager kutoka kulia Athumani Iddi 'Chuji', Amri Kiemba na Nadir Haroub 'Cannavaro' wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere asubuhi ya leo kutokea Morocco walipokwenda kucheza na wenyeji na kudungwa 2-1 katika mechi ya Kundi C kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunia mwakani nchini Brazil. Stars ilifungwa 2-1 bao lake likifungwa na Kiemba.
 Wachezaji wanatoka Uwanja wa Ndege  na kuelekea kambini Tansoma Hotel, kuanza maandalizi ya mchezo ujao dhidi ya Ivory Coast wikiendi ijayo
Wanapanda basi kuelekea kambini.Picha Zote na Habari na Bin Zubery
Reviewed by crispaseve on 07:59 Rating: 5

No comments

Post AD