Header AD

TAZAMA YALIYOJIRI KATIKA SHOW YA MIAKA KUMI NA TATU KATIKA MUZIKI YA KOMANDO JIDE A.K.A ANACONDA.

Komando Jide akikumbatiana na Profesa Jay ikiwa ishara ya upendo, umoja na kushow Love.
Watu walikuwa wengi sio kawaida.
Pichani ni msanii Profesa Jay akisema na nyomi
Mzee Kitime akimpiga picha Komando Kalala wakati anaimba 
Komando Kalala na mkewe jukwaani
Pichani ni Msanii Mango Star na nyoka
Hapo sasa mambo ya kumeza Nyoka ,Pichani ni msanii Mango Star akiwapa burudani mashabiki waliojitokeza ya kucheza na nyoka.
Msanii M2 The P akizungumza jukwaani.

Mbunifu wa style ya Mapanga Shaaaa akifanya yake katika stage.

Mwanamuziki nguli wa Tanzania Juma Kassim Nature a.k.a Sir Nature akikonga nyoyo za mashabiki.
Pichani ni mwanamuziki Juma nature na Doro wakifanya yao jukwaani.
True Love Never Die Sinta akimpiga picha  Sir Nature wakati alipokuwa akiperfom jukwaani.

Wamefanana hao,Pichani ndiye mama yake mzazi na mwanamuziki Lady Jay dee wakipata picha ya pamoja.
Anaconda Akifanya yake bila uwoga.
Mwanadada Anaconda akiwa amezidiwa na hela ambazo alikuwa ametunzwa na wapenzi na mashabiki wa muziki wake.
bi mdada TK wa Band ya Machozi akifanya yake jukwaani Nyumbani Lounge.
Pichani ni mheshimiwa Joseph Mbilinyi mbunge wa Mbeya Mjini akiteta jambo na mdau wa muziki katika Show ya Anaconda.
 Komando Jide aliweza kuwapa fursa wasanii wachanga kuweza kuonyesha uwezo wao mbele ya show kubwa ya miaka 13.
Pichani ni Mgaya Kingoba Mhariri wa Michezo gazeti la Habari Leo nae alikuwepo katika kutoa support katika show hiyo ya Anaconda.
Pichani Kutoka kulia Baraka Msilwa, Francis Kifukwe na mkewe
Reviewed by crispaseve on 02:59 Rating: 5

No comments

Post AD