TAZAMA YALIYOJIRI KATIKA SHOW YA MIAKA KUMI NA TATU KATIKA MUZIKI YA KOMANDO JIDE A.K.A ANACONDA.
Komando Jide akikumbatiana na Profesa Jay ikiwa ishara ya upendo, umoja na kushow Love. |
Watu walikuwa wengi sio kawaida. |
Pichani ni msanii Profesa Jay akisema na nyomi |
Mzee Kitime akimpiga picha Komando Kalala wakati anaimba |
Komando Kalala na mkewe jukwaani |
Pichani ni Msanii Mango Star na nyoka |
Hapo sasa mambo ya kumeza Nyoka ,Pichani ni msanii Mango Star akiwapa burudani mashabiki waliojitokeza ya kucheza na nyoka. |
Msanii M2 The P akizungumza jukwaani. |
Mbunifu wa style ya Mapanga Shaaaa akifanya yake katika stage.
|
Mwanamuziki nguli wa Tanzania Juma Kassim Nature a.k.a Sir Nature akikonga nyoyo za mashabiki.
|
Pichani ni mwanamuziki Juma nature na Doro wakifanya yao jukwaani. |
True Love Never Die Sinta akimpiga picha Sir Nature wakati alipokuwa akiperfom jukwaani. |
Wamefanana hao,Pichani ndiye mama yake mzazi na mwanamuziki Lady Jay dee wakipata picha ya pamoja. |
Anaconda Akifanya yake bila uwoga. |
Mwanadada Anaconda akiwa amezidiwa na hela ambazo alikuwa ametunzwa na wapenzi na mashabiki wa muziki wake.
|
bi mdada TK wa Band ya Machozi akifanya yake jukwaani Nyumbani Lounge. |
Pichani ni mheshimiwa Joseph Mbilinyi mbunge wa Mbeya Mjini akiteta jambo na mdau wa muziki katika Show ya Anaconda.
|
Komando Jide aliweza kuwapa fursa wasanii wachanga kuweza kuonyesha uwezo wao mbele ya show kubwa ya miaka 13. |
Pichani ni Mgaya Kingoba Mhariri wa Michezo gazeti la Habari Leo nae alikuwepo katika kutoa support katika show hiyo ya Anaconda. |
Pichani Kutoka kulia Baraka Msilwa, Francis Kifukwe na mkewe |
Reviewed by crispaseve
on
03:04
Rating:
Post a Comment