AIRTEL MONEY INAVYOPIGA TAFU WAFANYABIASHARA SOKO LA SAMAKI MWALONI KIRUMBA MWANZA NA MARA-MUSOMA
Wakwanza mbele kushoto ni Meneja uhusiano wa Airtel jacksonm Mmbando na ofisa masoko wa Airtel Mwanza Bw Ally Mashauri wakimsikiliza bw,Rashid Moshi mmoja wa wauzaji na mvuvi wa samaki katika soko la kimataifa
la Samaki Mwaloni Kirumba Mwanza leo wakati ambapo Airtel walitembelea
sokoni hapo na kuzungumza na wateja wao jinsi huduma ya Airtel Hakatwi
mtu inavyowafaidisha kufanya biashara zao za kuuza na kununua samaki
kupitia airtel money bila makato- Hakatwi mtu hapa.
kushoto ni Meneja uhusiano wa Airtel jackson Mmbando na kulia ni Ofisa Masoko wa kanda ya ziwa Bw Ally Mashauri wakimkabidhi vitendea kazi vya uwakala Bw, Innocent Godwin (kati) anaefanya uwakala ndani ya soko la
samaki la kimataifa Mwaloni Kirumba Mwanza leo wakati ambapo
airtel walitembelea sokoni hapo kujionea jinsi wauzaji na wanunuzi wa
samaki wanavyoitumia huduma yao ya kutuma na kutoa pesa bila makato
wanapokuwa kwenye biashara zao-hakatwi mtu hapa.
Reviewed by crispaseve
on
22:53
Rating:
Post a Comment