Header AD

GEMU YA ‘GTA V’ YAINGIA KWENYE GUINNESS WORLD RECORDS .

Kampuni ya RockStar inayotengeneza video gemu za Grand Theft Auto kupitia toleo lao  jipya walilotoa mwezi Septemba 17 mwaka huu la Grand Theft Auto V (GTA V) kutangazwa rasmi kuingizwa katika kumbukumbu Duniani  za ‘Guiness World Records’ baada ya kuweka rekodi zipatazo saba kwa upande wa gemu bora iliyouza mauzo makubwa kwa haraka zaidi tangu itoke ambapo iliweza kuingiza mauzo ya Dola Milioni 800 siku yake ya kwanza kuingizwa sokoni na hatimaye kufikia Dola bilioni 1 ndani ya siku tatu.
Hizi ni baadhi ya rekodi zilizowekwa na gemu ya GTA V katika Guinness World Records:
  • Best-selling action-adventure video game in 24 hours
  • Best-selling video game in 24 hours
  • Fastest entertainment property to gross $1 billion
  • Fastest video game to gross $1 billion
  • Highest grossing video game in 24 hours
  • Highest revenue generated by an entertainment product in 24 hours
  • Most viewed trailer for an action-adventure video game
Reviewed by crispaseve on 00:42 Rating: 5

No comments

Post AD