JUST IN:MWANDISHI WA HABARI WA ITV NA RADIO ONE UFO SARO APIGWA RISASI NA ANAYEDAIWA KUWA MCHUMBA WAKE
Taarifa
zilizotufikia hivi punde na zilizosikika katika Mitandao ya Kijamii
Asubuhi hii zinasema kuwa Mwandishi wa habari wa Kituo Cha Habari cha
ITV na Radio One UFO SARO amepigwa risasi mbili na anayesemekana kuwa ni
Mchumba Wake aliyekuwa akifanya Kazi Sudan Kupitia UN. Sababu ya
Kupigwa Risasi yeye UFO SARO na Mama yake Mzazi Ufo Saro ambaye
amepoteza maisha papo hapo ni ugomvi ambao haujajulikana na huku
Aliyewapiga risasi UFO SARO pamoja na Mama yake Mzazi Ufo kujipiga
risasi chini ya kidevu na kupoteza maisha papo hapo..
Hali ya UFO SARO Mpaka sasa haijulikani inaendelea vipi lakini Kadri tunavyozidi kuzipata habari hizi tutazidi kuwajuza.
Source.ITV Breaking News

Post a Comment