Producer Lamar Anatayarisha Wimbo Wa Kupiga Vita Matumizi Ya Dawa Za Kulevya
Producer wa Fish Crab Studios Lamar yuko kwenye shughuli ndefu ya
kutengeneza wimbo wa kupiga vita matumizi ya dawa za kulevya Tanzania.
Wimbo huu wenye lengo kuu la kupiga vita Drug Abuse Tanzania utahusisha
na kuwa na sauti kumi tofauti za wasanii wa hapa Bongo.
Reviewed by crispaseve
on
15:03
Rating:


Post a Comment