Swizz Beatz Ndio Producer Atakaye Mrudisha Juu Rapper DMX.
Msemaji wa DMX 'Domenick Nati' amesema rapper huyo na Swizz Beatz
wameanza kufanya kazi pamoja kwenye album mpya ya Dog Man X ila mpaka
sasa hatujajua lini cd hio inatoka. Swizz Beats na Dmx wameonekana
pamoja miezi michache iliyopita kwenye tamasha la Alicia Keys.
Reviewed by crispaseve
on
15:04
Rating:


Post a Comment