RAIS KIKWETE MGENI RASMI JUBILEI YA MIAKA 100 YA PAROKIA YA LUGOBA.
Rais
Jakaya Kikwete akikata utepe kuzindua zahanati katika Parokia ya
Lugoba, wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, leo Oktoba 27, 2013 wakati wa
sherehe za Jubilei ya Miaka 100 wa Parokia hiyo.i ya Miaka 100 wa
Parokia hiyo.
Rais
Jakaya Kikwete na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki wa Jimbo la Morogoro
Onesphory Mkude, wakishuhudiwa na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo
la Tanga Anthony Banzi, wakiweka jiwe la msingi katika kiwanja
kitakachojengwa jengo la vijana katika Parokia ya Lugoba, wilaya ya
Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, leo Oktoba 27, 2013 wakati wa sherehe za
Jubilei ya Miaka 100 wa Parokia hiyo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwaonesha Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki wa
Jimbo la Morogoro Onesphory Mkude, Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo
la Tanga Anthony Banz na viongozi wa mkoa wa pwani iliyokuwa
inaendeshwa na darasa alilosomea wakati alipokuwa shule ya kati
ilinayoendeshwa na Parokia ya Lugoba, wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani,
leo Oktoba 27, 2013 wakati wa sherehe za Jubilei ya Miaka 100 wa
Parokia hiyo. PICHA NA IKULU.
Rais
Jakaya Kikwete akihutubia katika Parokia ya Lugoba, wilaya ya
Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, leo Oktoba 27, 2013 wakati wa sherehe za
Jubilei ya Miaka 100 wa Parokia hiyo.i ya Miaka 100 wa Parokia hiyo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki wa Jimbo
la Morogoro Onesphory Mkude, Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la
Tanga Anthony Banzi, viongozi wa mkoa wa pwani na kamati ya walei ya
Parokia ya Lugoba, wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, leo Oktoba 27,
2013 wakati wa sherehe za Jubilei ya Miaka 100 ya Parokia hiyo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki wa Jimbo
la Morogoro Onesphory Mkude, Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo la
Tanga Anthony Banzi, viongozi wa mkoa wa pwani na kwaya pamoja na watoto
wa shule ya Jumapili katika Parokia ya Lugoba, wilaya ya Bagamoyo,
Mkoa wa Pwani, leo Oktoba 27, 2013 wakati wa sherehe za Jubilei ya Miaka
100 Parokia hiyo.
Reviewed by crispaseve
on
23:55
Rating:
Post a Comment