REALITY TV SHOW YA WEMA SEPETU KUANZA KUONEKANA JUMATANO HII EATV.
Reality Tv show ya Wema Sepetu(In My Shoes) ambayo ilikuwa inasubiriwa
kwa hamu kubwa hatimaye itaanza kuonekana rasmi Jumatano hii saa tatu na
nusu usiku kupitia East Africa Tv(EATV). Show hiyo itakuwa inahusu
maisha ya kila siku ya star huyo wa filamu na Miss Tanzania wa mwaka
2006.
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news
Reviewed by crispaseve
on
22:09
Rating:


Post a Comment