MIMBA YA ROSE NDAUKA SI KIFICHO TENA.
Mimba ya actress Rose Ndauka si ya kujificha tena kwasasa baada ya picha
zake mpya kuonekana tofauti na hapo mwanzoni alipokuwa akikataa kuwa
hana ujauzito. Hivi majuzi Rose aliyejaaliwa kipaji cha uigizaji
alifanya birthday party na ujauzito wake kuonekana wazi kama
anavyoonekana pichani hapo chini.
Reviewed by crispaseve
on
22:10
Rating:


Post a Comment