SIPENDI KABISA KUSIKIA MASWALA YA WANAUME ZA WATU...! ALISEMA SNURA, CHEKI HAPA
STAA wa Majanga, Snura Antony Mushi ‘Snura’ amesema kamwe wanaume za watu wasimmendee katika shoo zake kwani hakati mauno ili kuwapata hasa wenye wake.
Akipiga stori na paparazi wetu, Snura alisema kukata mauno kwenye show ndiyo silaha yake ya kuwateka mashabiki lakini anashangaa kuona wanaume za watu ndiyo wanaongoza kwa
Reviewed by crispaseve
on
22:10
Rating:


Post a Comment