RUFAA YA BABU SEYA, PAPII KOCHA KILICHOBAKI NI HUKUMU TU BAADA YA KESI KUPIITIWA UPYA
Leo, Jumatano, jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufani nchini Tanzania limeipitia upya hukumu yao.
Katika rufaa hiyo leo wakili wa Babu Seya na Papii Kocha ameiomba
mahakama hiyo ifute ushahidi na waachiwe huru lakini serikali imepinga.
Kutokana na hatua hiyo, leo mahakama ya rufaa haijafanya uamuzi wowote
imewapiga kalenda na kesi inasubiri hukumu mpya.
Nguza Viking na Papii Kocha wanatumikia kifungo cha maisha jela kwa
makosa ya kubaka na kulawiti watoto wadogo wa shule ya msingi.
Reviewed by crispaseve
on
10:02
Rating:
Post a Comment