(DOWNLOAD NEW AUDIO) B,BaFA We Are One B,Bafa ft. Sheki Africana :-
New Track B,BaFA
Msanii Wa Musiki Wa Bongo Fleva
Ambae Anafanya Vizuri Katika Kazi Zake Toka Aanze Track Ya Kwanza,Anaejulikana Maarufu Kama
B,BaFA a.k.a Son Of J,Leo Ameachia Rasmi Joint Mpya Yenye Mahadhi Ya Hip Hop,
Hii sio nyimbo yake ya Kwanza Ameshafanya Track Nyingi Sana Zake Kama Gangster Rapper ,Queen , Na Baadhi Ya Nyingine Nying Zilizo
Hit Mitaani:
Hii Ngoma yake yenye beat Kali Ambayo Amefanya Kwa Mesen Selekta Ndani Ya Studio Za Defetality Mara ya kwanza isikilize hapa:-
Hii Ngoma yake yenye beat Kali Ambayo Amefanya Kwa Mesen Selekta Ndani Ya Studio Za Defetality Mara ya kwanza isikilize hapa:-
Reviewed by crispaseve
on
10:16
Rating:
Post a Comment