WASHINDI WA VIP WAWASILI DAR TAYARI KWA KUHUDHURIA SHOW YA SERENGETI FIESTA JUMAMOSI HII
Baadhi ya washindi wa Serengeti Fiesta VIP katika pozi la pamoja mara baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam
Baadhi ya washindi wa Serengeti Fiesta VIP wakishuka kwenye gari maalum wakati wakiwasili Belinda Annex kwaajili ya chakula cha jioni leo jijini Dar es Salaam.
Washindi wa Serengeti Fiesta VIP wakibadilishana mawazo mara baada ya kuwasili Belinda Annex leo jijini Dar es Salaam.
Reviewed by crispaseve
on
01:34
Rating:
Post a Comment