BONANZA LA JOGGING & GLOBAL BREAKING NEWS LAFANA NDANI YA DAR LIVE
Washiriki wakimalizia mbio zao kutokea Uwanja wa Taifa mpaka Ukumbi wa taifa wa Burudani wa Dar Live.
Msanii
wa Msondo Music Band, Hassan Moshi (mwenye Mic) akikosha nyoyo za wana
Jogging waliohudhuria kwenye Bonanza la Jogging & Global Breaking
News leo.
Timu
ya klabu ya Jogging ya Magenge 20 wakipepetana na Spurs (jezi nyeupe)
katika mchezo wa pete hatua ya nusu fainali, katika bonanza hilo.
Wacheza drafti John Gwile (kushoto) na Mohamed Abdallah wakichuana kwenye Bonanza la Jogging & Global Breaking News leo.
BONANZA LA JOGGING & GLOBAL BREAKING NEWS LAFANA NDANI YA DAR LIVE
Reviewed by crispaseve
on
13:15
Rating:
Post a Comment