Kampeni za uhamasishaji virutubishi kwenye chakula zaendelea Mkoani Manyara
Mwelimishaji
wa masuala ya lishe kutoka mradi wa USAID Tuboreshe,Bi. Sara Luzangi
akiongea na wanafunzi wa shule za msingi wilayani Babati mkoani Manyara
juu ya umuhimu wa matumizi ya vyakula vilivyowekwa virutubishi katika
kampeni za kutoa elimu hiyo zinazoendelea katika wilaya mbalimbali za
hapa nchini.
Waendeshaji
wa kampeni ya kuongeza virutubishi katika chakula kutoka mradi wa USAID
Tuboreshe Chakula wakiendesha kampeni ya umuhimu wa virutubishi kwa
wanafunzi wa shule za msingi wilayani humo leo.
Waendesha kampeni wakitoa elimu ya wanafunzi wa njia ya kutoa burudani katika kampeni zinazoendelea mkoani Manyara.
Kampeni za uhamasishaji virutubishi kwenye chakula zaendelea Mkoani Manyara
Reviewed by crispaseve
on
22:25
Rating:

Post a Comment