Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akiwaonesha Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kitabu cha CCM kinachohusu Kanuni za Uongozi na Maadili,alipozungumza nao kwenye moja ya ukumbi wa Ofisi za Chama hicho zilizopo Lumumba jijini Dar. 2014 - Nape - Press Conf. - Wagombea Urais - Kufanya Kampeni Kabla Ya Muda - 18.2.14
Post a Comment