Header AD

MKUU WA MABALOZI NCHINI MAREKANI ATEMBELEA UBALOZI WA AFRICAN UNION, WASHINGTON, DC



Balozi wa kudumu wa African Union nchini Marekani Mhe. Amina Salum Ali katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mabalozi wote wanaowakilisha nchi zao nchini Marekani Mhe. Roble Olhaye alipotembelea ofisi za Ubalozi wa AU zilizopo Georgetown, Washington, DC leo Ijumaa Feb 14, 2014.
Mkuu wa Mabalozi (Dean) nchiniMarekani Mhe. Roble Olhaye akitia saini kitabu cha wageni na baadae kufanya mazungumuzo na Balozi wa kudumu wa AU nchiniMarekani, Mhe. Amina Salum Ali leo Ijumaa Feb 14, 2014 alipotembelea ofisi hizo zilizopo Georgetown, Washington, DC. Balozi Roble Olhayeanatokea Djibouti.
MKUU WA MABALOZI NCHINI MAREKANI ATEMBELEA UBALOZI WA AFRICAN UNION, WASHINGTON, DC MKUU WA MABALOZI NCHINI MAREKANI ATEMBELEA UBALOZI WA AFRICAN UNION, WASHINGTON, DC Reviewed by crispaseve on 12:10 Rating: 5

No comments

Post AD