Header AD

MSIBA DMV NA TANZANIA


Balozi Fulgence Kazaura enzi ya uhani wake

Sima Kazaura anasikitika kutangaza kifo cha baba yake mzazi kilichotokea leo nchini India. Kama ilivyoada kupeana mkondo wa pole na kufarijiana ndio ustaarabu wetu msiba hapa DMV upo 
21, featherwood court apt 14
silver spring MD 20904
Tutaziji kuwajuza mambo yanavyoendelea katika msiba huu hapa DMV na nyumbani Tanzania.

 chini hapo ni namba ya mfiwa Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu.

Sima Kazaura 202 413 9184 

Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe.
MSIBA DMV NA TANZANIA MSIBA DMV NA TANZANIA Reviewed by crispaseve on 02:08 Rating: 5

No comments

Post AD