Header AD

YANGA YAIHAIBISHA RUVU SHOOTING BAO 7-0 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO



 Mchezaji wa Yanga, Juma abdul akimtoka beki wa Ruvu Shooting, Said Madega.
 Mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi akimpiga chenga kipa wa Ruvu Shooting, Abdalah  Ramadhan na kuipatia timu yake bao la 3 kwa timu yake.
 Dogo huniwezi.................
 Sasa naenda kufunga......
Golikipa wa Ruvu Shooting, Abdalah Ramadhani akiwa ameshika kiuno baada ya Okwi kupachia bao.
Washambuliaji wa Yanga, Emmanuel Okwi (kulia), na Hamis Kiiza wakishangilia moja ya  magoli waliyoifungia timu yao wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka  Tanzania Bara dhidi ya Ruvu Shooting uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa  jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 7-0 
(Picha zote na Francis Dande)
YANGA YAIHAIBISHA RUVU SHOOTING BAO 7-0 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO YANGA YAIHAIBISHA RUVU SHOOTING BAO 7-0 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR LEO Reviewed by crispaseve on 02:09 Rating: 5

No comments

Post AD