Header AD

Rais Kikwete awasili nchini akitokea London



Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bwana Said Meck Sadik akimpokea Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa mwalimu Julius Nyerere akitokea London Uingereza ambapo alihudhuria Mkutano uliojadili mbinu za kupambana na Ujangili duniani.Mkutano huo uliandaliwa na mwana mfalme wa Uingereza Prince Charles.(picha na Freddy Maro)
Rais Kikwete awasili nchini akitokea London  Rais Kikwete awasili nchini akitokea London Reviewed by crispaseve on 12:29 Rating: 5

No comments

Post AD