Header AD

USTADHI ATENGANISHA KICHWA NA MWILI WA MTOTO JAMALI SALUM LIPAKALE


Enzi ya uhai wake Jamali Salum Lipakale (12) kabla hajauawa ,(PICHA NA KHAMISI MUSSA)Mmiliki wa www.ujijirahaa.blogspot.com
Mtoto Ramadhani Hamisi  (11) alie mwambia Jamali Salum Lipakale amsindikize kwa Ustadhi.
Enzi ya Uhai wake Ustadhi Mohamed Kurangwa (36) alie muua mwanafunzi wa shule ya msingi Nzasa ,Jamal Salum,kisha naye kuuawa na wananchi wenye hasisa kali
Mwili wa  Ustadhi Mohamed Kurangwa (36) ukishuswa katika hospitali ya temeke na ndugu na jamaa
 Mwili wa mtoto  Jamali Salum Lipakale (12) wakiuanda kuushusha katika hospitali ya temeke
Mwili wa mtoto  Jamali Salum Lipakale (12) ukishushwa na ndugu na jamaa wa Ustadhi katika Hospitali ya Temeke.
Ndugu na Jamaa waombolezaji wa mama mzazi wa Jamali Salum Lipakale (12)wakimpa faraja mama huyo,wapili kushoto.
Ramadhani Hamisi  (11) akisimulia rafiki yake  Jamali Salum Lipakale (12) alivyo uawa

Ramadhani Hamisi  (11) akiwa na baba yake Hamisi Rashid ,alie vaa flana nyekundu,
Wananchi wakiwa wanaangalia chumba alicho kua amejifungi ustadhi huyo kabla haja uawa
Ndugu na jamaa wakiwa katika huzuni
Ramadhani Hamisi  (11) akiwa anahojiwa na mwanachi

Mama mzazi wa  Ramadhani Hamisi  (11) Hadija Athumani Mtolya(31) kushoto akiwa na akinamama wenzake.
Wananchi wakibadilishana mawazo katika tukio hilo la mauaji
Wananchi katika tukio hilo la mauaji na ulinzi mkali
Magari ya Polisi katika tukio la mauaji
USTADHI ATENGANISHA KICHWA NA MWILI WA MTOTO JAMALI SALUM LIPAKALE USTADHI ATENGANISHA KICHWA NA MWILI WA MTOTO JAMALI SALUM LIPAKALE Reviewed by crispaseve on 00:00 Rating: 5

No comments

Post AD