Header AD

HAWA NDIO WASHINDI WA TUZO ZA OSCAR 2014.



watch-oscars-2014-online
Tuzo za Academy maarufu kama The Oscar zimefikia tamati kwa kufanyika katika  ukumbi wa Dolby uliopo jijini Los Angels Marekani na kuhudhuriwa na mastaa kibao huku mtangazaji maarufu Ellen Degeneres akiwa ndiye mshereheshaji(MC) wa shughuli hiyo nzima.
Kwa mwaka huu, muigizaji Lupita Nyong’o aliweza kuliwakilisha vyema bara la Afrika hasa nchini yake ya Kenya kwa kuondoka na tuzo ya ‘Best Supporting Acteress’ kupitia filamu aliyocheza ya ’12 Years a slave’.
Baadhi ya mastaa wakubwa na wadogo wa  filamu waliweza kuondoka na tuzo hizo majumbani kwao kwa kuibuka washindi katika vipengele walivyokuwa wakishindania.

Tazama mkeka mzima ulivyokuwa hapo chini
Supporting Actor
Barkhad Abdi, Captain Phillips
Bradley Cooper, American Hustle
Michael Fassbender, 12 Years a Slave
Jonah Hill, The Wolf of Wall Street
WINNER: Jared Leto, Dallas Buyers Club
Supporting Actress
Sally Hawkins, Blue Jasmine
Jennifer Lawrence, American Hustle
WINNER: Lupita Nyong’o, 12 Years a Slave
Julia Roberts, August: Osage County
June Squibb, Nebraska
Original Song
“Alone Not Yet Alone,” Alone Not Yet Alone
“Happy,” Despicable Me
WINNER: “Let It Go,” Frozen
“The Moon Song,” Her
“Ordinary Love,” Mandela: Long Walk to Freedom
Adapted Screenplay
Before Midnight
Captain Phillips
Philomena
WINNER: 12 Years a Slave
The Wolf of Wall Street
Original Screenplay
American Hustle
Blue Jasmine
Dallas Buyers Club
WINNER: Her
Nebraska
Animated Feature
The Croods
Despicable Me 2
Ernest & Celestine
WINNER: Frozen
The Wind Rises
Documentary Feature
The Act of Killing
Cutie and the Boxer
Dirty Wars
The Square
WINNER: 20 Feet From Stardom
Foreign Language
The Broken Circle Breakdown (Belgium)
WINNER: The Great Beauty (Italy)
The Hunt (Denmark)
The Missing Picture (French)
Omar (Palestine)
Best Director
David O. Russell, American Hustle
WINNER: Alfonso Cuarón, Gravity
Alexander Payne, Nebraska
Steve McQueen, 12 Years a Slave
Martin Scorsese, The Wolf of Wall Street
Best Actress
Amy Adams, American Hustle
WINNER: Cate Blanchett, Blue Jasmine
Sandra Bullock, Gravity|
Judi Dench, Philomena
Meryl Streep, August: Osage County
Best Actor
Christian Bale, American Hustle
Bruce Dern, Nebraska
Leonardo DiCaprio, The Wolf of Wall Street
Chiwetel Ejiofor, 12 Years a Slave
WINNER: Matthew McConaughey, Dallas Buyers Club
Best Picture
American Hustle
Captain Phillips
Dallas Buyers Club
Gravity
Her
Nebraska
Philomena
WINNER: 12 Years a Slave
The Wolf of Wall Street
HAWA NDIO WASHINDI WA TUZO ZA OSCAR 2014. HAWA NDIO WASHINDI WA TUZO ZA OSCAR 2014. Reviewed by crispaseve on 23:13 Rating: 5

No comments

Post AD