Header AD

50 CENT AWACHANA KIMTINDO RICK ROSS, P.DIDY NA STEVE STOUTE KWA KUCHOCHEA USHOGA.


50 Cent
Aliyekuwa kiongozi wa kundi la G-Unit, Curtis Jackson, better known by his stage name, 50 cent, jana aliposti picha tata kupitia ukurasa wake wa Instagram iliyokuwa ikimwonyesha rapa Rick Ross akibusiana na  P.didy na nyingine ikimuonyesha  Steve Stoute akiwa amemkumbatia P.Didy na kuadd caption iliyosomeka  ‘’I ain’t saying nothing, but something ain’t right.Lmao #smsaudio’’, hata hivyo baadae 50 cent alizifuta picha na ujumbe alioweka.
Screenshot 2014-03-03 15.10.43

50 CENT AWACHANA KIMTINDO RICK ROSS, P.DIDY NA STEVE STOUTE KWA KUCHOCHEA USHOGA. 50 CENT AWACHANA KIMTINDO RICK ROSS, P.DIDY NA STEVE STOUTE KWA KUCHOCHEA USHOGA. Reviewed by crispaseve on 23:09 Rating: 5

No comments

Post AD