PICHA YA SIKU : PICHA YA MWISHO ALIYOPIGWA MAREHEMU 2PAC KABLA YA KIFO CHAKE.
Huenda ukawa hufahamu kuhusu kifo
cha rapa aliyewahi kutamba kwenye anga la muziki miaka ya 90, 2pac
Omari Shakur, kwa mujibu wa kumbukumbu zinasema kwamba picha hapo juu
inayomuonyesha, Pac akiwa na aliyekuwa mmiliki wa wa studio ya Death
Row, Marion Suge Knights, ndio ilikuwa picha ya mwisho kupigwa ikiwa
ni muda mchache kabla ya kushambuliwa na risasi na watu wasiojulikana
alipokuwa akitokea kwenye pambano la ngumi la bondia Mike Tyson,
Septemba 09 mwaka 1996 lilofanyika katika mji wa Las Vegas, Marekani.
PICHA YA SIKU : PICHA YA MWISHO ALIYOPIGWA MAREHEMU 2PAC KABLA YA KIFO CHAKE.
Reviewed by crispaseve
on
23:04
Rating:
Post a Comment