|
Wafuasi wa CCM
wakishangilia kwa furaha walipokuwa wakimlaki mgombea ubunge Jimbo la
Kalenga, Godfrey Mgimwa (hayupo pichani) katika mkutano wa kampeni
katika Kijiji cha Kalenga, Iringa Vijijini jioni leo. PICHA ZOTE NA
KAMANDA RICHARD MWAIKENDA WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG |
|
Mfuasi wa CCM
akiwa mbele ya polisi huku akionesha picha ya mgombea ubunge Jimbo la
Kalenga kupitia chama hicho atika mkutano wa kampeni katika Kijiji cha
Kalenga, Iringa Vijijini |
|
Mgimwa akiwa abebwa juu alipowasili katika mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Kalenga jioni leo |
Wafuasi wa CCM wakishangilia huku wakiwa na picha za mgombea ubunge
Jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa wakati wa mkutano wa kampeni katika
Kijiji cha Ipamba, Kata ya Kalenga, Iringa Vijijini
|
Ni furaha iliyoje katika mapokezi ya Mgimwa katika Kijiji cha Ipamba, Tosamaganga |
Msanii mahiri wa filamu na muziki, Ummy Wenslaus 'Dokii" akihamasisha
wakati wa mkutano wa kampeni za CCM katika Kijiji cha Ipamba,
Tosamaganga leo
|
Mwenyekiti wa CCM
Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu akipokea kadi kutoka kwa mwanachama
wa Chadema, Said Mbilinyi aliyeamua kuihama Chadema na kujiunga na CCM
katika mkutano wa kampeni Kijiji cha Ipamba |
|
Diwani wa Kata ya
Kalenga, Ameria Galinoma akionesha ishara ya dole baada kufurahishwa na
hotuba ya mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga, kupitia CCM, Godfrey
Mgimwa |
|
Sista aliyewahi
mfundisha marehemu Dk. William Mgimwa darasa la tatu na nne katika Shule
ya Wassa, Paula Msambwa akikukmbatia kwa fura na mtoto wa Mgimwa,
Godfrey Mgimwa ambaye anagombea ubunge Jimbo la Kalenga. |
|
Mgombea ubunge
Jimbo la Kalenga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Godfrey Mgimwa,
akisalimiana na Sista Paula Msambwa (73), aiyewahi mfundisha babake
mrehemu Dk. William Mgimwa daras la tatu na nne katika Shule ya Wassa
kati ya mwaka 1964-1965. Mgombea hu alikutana naye wakati wa kampeni
katika Kijiji cha Tosamaganga, Kata ya Kalenga, Iringa Vijijini |
|
Makamu Mwenyekiti
wa CCM, Philip Mangula akihutubia katika mkutano wa kampeni za CCM
Jimbo la Kalenga katika Kijiji cha Tosamaganga, ambapo alihimiza amani
siku ya kupiga kura |
|
Mapokeszi ya Mgimwa katika mkutano wa kampeni Kijiji cha Kalenga leo |
|
Ni furaha kwa kwenda mbeleeeeeee |
|
Diwani wa Kata ya
Kalenga, Ameria Galinoma (kulia0 na Diwani wa Viti Maalumu wa Kata
hiyo, ambaye pia ni Mwenyekiti wa UWT Wilya ya Iringa Vijijini, Shakila
Kiwanga pamoja na wananchi wakishangilia katika mkutano wa kampeni za
CCM katika Kijiji cha Kalenga leo |
|
Dokii akifanya vitu vyake katika mkutano wa kampeni za CCM Kaleenga mjini leo |
|
Doria ikiwa imeimarishwa katika Jimbo la Uchaguzi la Kalenga |
|
Makamu Mwenyekiti
wa CCM, Philip Mangula akionesha fomu ya mfano ya kupigia kura yenye
picha za wagombea ubunge Jimbo la Kalenga wakati wa mkutano wa kampeni
katika Kijiji cha Kalenga, Iringa Vijijini jana.Uchaguzi utafanyika
Jumapili Machi 16, mwaka huu. |
Post a Comment